Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Utawajua wenye wivu na maendeleo ya wengine
Mimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Badala mzimie wanaume wenye hela zao mpewe maisha na kupitia njia iliyo nyooka mna wazimia vinyamkera gan sijui. Tehe [emoji23][emoji23]

Life's short baby u deserve a Winner. [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom