Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Jamani jamani kusahau kwa mwanadamu daaah....

Nimewasahau wawili mmoja ndo memkumbuka mwingine loading.....

Nyani Ngabu! Sijui kwann nilikusahau anyway navutiwa na baadhi ya michango yako hasa ile intavyuuu...niliipenda mno, God bless you, live long!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Jf idadi ya jinsia Me ni wengi zaidi ya Ke.
 
Kila MTU na mtuwe humu. All occupied. Labda ufanye mapinduzi"coup de tat" kitu ambacho sio busara.
 
Sijui nianzishe na mimi thread ya kwetu wanaume tuoneshe tunawazimikia wanawake gani humu JF?? ila sipati picha dadeq

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Itakuwa noma mtu nikishusha list hapo maana huwa atumzimikii mmoja.
 
Back
Top Bottom