Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nimefuatilia uzi mzima sijaona ukimtaja mutu.... kuna namnahapo umefurahiiii sana mkuu
nakuona nakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefuatilia uzi mzima sijaona ukimtaja mutu.... kuna namnahapo umefurahiiii sana mkuu
nakuona nakuona
Hata wewe hunizimii? KeleuwiiiiNg'wanike Evelyn Salt Hunizimikii kweli?au sina jina Jf?
Usijar baby..siwaambii chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupi huyo?
Wewe huna couple?Hahahaha haya sasa couple zina undwa...
Wewe ni mwehu hah haaa sikua nakujua aisee upo vizuri idara ya neno kwa kweli.Teh teh..utahamisha mapenzi yangu. Stakiiii
Nimefuatilia uzi mzima sijaona ukimtaja mutu.... kuna namna
najua ni mchokozi sana huyu DabyHahaha sasa hata bila kumtaja watu wameshanijua kwamba mimi ndio mfalme na wewe ndiwe malkia ndani ya kasri langu,
Sasa Daby anataka akusikie tu ukitamka lakini ameshajua atakayetajwa ni nani
Aisee sijutii ku uludia huu uzi senkiyu sana navutiwa mno na wewe wiser1Navutiwa na The bold humu kwa hadithi na makala, pia Daby hahahaaa ndo namchunguza now km anavigezo...ila anabivutia kuwa mmoja ya wachangiaji waliowah kuzushiwa humu
Navutiwa na Gentamycinie (mods sahihisheni tafadhali)...sijui nimekosea spelingii ila kaelewa
Navutiwa na kaka mshana Jr saaaanaaa tu, pia kaka "the first" kuriplaiii.. Jovere...., pia kiongozi Manga ML
Yan wapo wengi ila hao wananivutia uchangiaji wao, mada zao na ushabiki wao kwa baadhi ya mada ni burudani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kuwa mapenzi yanahamishika...teh tehWewe ni mwehu hah haaa sikua nakujua aisee upo vizuri idara ya neno kwa kweli.
Najua sana mimi nimependa majibu tuHajui kuwa mapenzi yanahamishika...teh teh
Njoo
Kunani huko niunge cheni?Njoo
AsanteeeNajua sana mimi nimependa majibu tu
Njoo tu. Karibuni nyooooteKunani huko niunge cheni?