Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Oya oya mbona kma ivyo mpka dkika hii sijatajwa acheni mizinguo
 
Navutiwa na The bold humu kwa hadithi na makala, pia Daby hahahaaa ndo namchunguza now km anavigezo...ila anabivutia kuwa mmoja ya wachangiaji waliowah kuzushiwa humu

Navutiwa na Gentamycinie (mods sahihisheni tafadhali)...sijui nimekosea spelingii ila kaelewa

Navutiwa na kaka mshana Jr saaaanaaa tu, pia kaka "the first" kuriplaiii.. Jovere...., pia kiongozi Manga ML

Yan wapo wengi ila hao wananivutia uchangiaji wao, mada zao na ushabiki wao kwa baadhi ya mada ni burudani

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sijutii ku uludia huu uzi senkiyu sana navutiwa mno na wewe wiser1
 
Back
Top Bottom