Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Nawapenda wanaojielewa ila kuna wanaume humu ni viaziiii hadi nadoubt kama kweli ni wanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unazungumzia wavulanaNawapenda wanaojielewa ila kuna wanaume humu ni viaziiii hadi nadoubt kama kweli ni wanaume
Inaweza kuwa maana si kwa utoto walionaoUtakuwa unazungumzia wavulana
Na wanaongoza kuanzisha threads siku hiziInaweza kuwa maana si kwa utoto walionao
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]naamiini nimeingia cha kike
Threads zenyewe hazina kichwa wala miguu ili mradi tu wameandikaNa wanaongoza kuanzisha threads siku hizi
Kipi kikuchekeshekacho[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huwa naboreka sana, eti mtu analeta mambo ya ndani ya boyfriend/girlfriend wake hapa.Threads zenyewe hazina kichwa wala miguu ili mradi tu wameandika
Kama ni hivyo basi nenda kampe number yangu ya simu mfanyakazi wenu Millard Ayo.Naitwa diamond platnumz, Bahresa ni mjomba angu na Mengi ni baba angu.
Millard ayo si unamjua?? Bas yule ni mfanyakazi wetu katima ile redio yetu[emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Kama ni hivyo basi nenda kampe number yangu ya simu mfanyakazi wenu Millard Ayo.
Hata the bossSina
Aisee!Nawapenda wanaojielewa ila kuna wanaume humu ni viaziiii hadi nadoubt kama kweli ni wanaume
Teh..Kama ni hivyo basi nenda kampe number yangu ya simu mfanyakazi wenu Millard Ayo.