Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Kiukweli huwa navutiwa sana na wanaume wanaojua kuchambua mada kiutuuzima wako wachache saaana humu na wanajijua na sio kila mada utawakuta wanacoment mada za msingi tuu huwa nawapenda bure ila kuna yule mchambuzi wa mada za ukimwi nae huwa napenda kweli comments zake
 
Kila siku unawachambua mkuu... gals hawapendi kusimangwa,wanapenda kubembelezwa tuu.
Lete uzi wa kuwasifia uone watavojleta kwko.
Haaah???? Kumbe ndo dawa yao?
 
Ngoja nisubiri mpaka mwisho labda nami nitakuwa miongoni mwao.
 
Mimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Umeona eeheee, na me engineer ila wa papuchi, nasuri anizimiaye hapa, gari yangu haijai [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom