Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Kawaida tu kama hujapendwa leo bas kesho waweza pendwa
 
Mie ninaemzimikia anajijua
Haya ndo huwaga majibu ya wanawake waliojaza YOUTONG ya anaowazimikia.... yaani konda anadhani yeye ndo anazimikiwa, dereva naye hivyo.... yaani kola mtu anadhani kuwa yuko peke yake
 
Naitwa diamond platnumz, Bahresa ni mjomba angu na Mengi ni baba angu.Millard ayo si unamjua?? Bas yule ni mfanyakazi wetu katika ile redio yetu

Nimetaja wasifu wangu lkn naona bado mpo kimya[emoji3] [emoji23]

Natumia gari 2 Buggati na Ferarri, Marafiki zangu wote nimewapa gari aina ya Hammer lakini pia namiliki maghorofa ma3 ostabei. Wikiendi hii nakwenda Ibiza kurelax nitapitia Dubai kununua saa ya mkononi
 
Back
Top Bottom