Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Nimekuona jamaniiiiii.
Ngoja nianze kukufuatilia.
Mimi nawazimia wanaume wenye akili kubwa,wanaochambua mada kwa hoja nzitonzito....are you the one?
[emoji12] [emoji12]
Hukosekani Jukwaa la siasa!
 
Saaaana [emoji39]

Nifah style ya maria umeiona[emoji3][emoji3]
e6dba51d49e8c26f6d5b60e5cbe0afc9.jpg
 
Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?

Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.

Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetishaaa Monii
 
Back
Top Bottom