Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Mwenyewe nafikiria kunyoa ila nikifikiria kuanza upya naishia kuahirisha tu...Muambie akutumie mom.
Japo sipo interested sana na kusuka hizo makitu.
Kwanza nataka kunyoa kabisa,nimeyachoka manywele.