Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Muambie akutumie mom.
Japo sipo interested sana na kusuka hizo makitu.
Kwanza nataka kunyoa kabisa,nimeyachoka manywele.
Mwenyewe nafikiria kunyoa ila nikifikiria kuanza upya naishia kuahirisha tu...
 
Mwenyewe nafikiria kunyoa ila nikifikiria kuanza upya naishia kuahirisha tu...
Mimi pia.
Ila jaribu kufikiria hizi nywele hatukuwa nazo...zitaota tu nyingine.
Nimechokaaaaa!
Nikitaka kutoka sina amani nywele natokaje [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Bora nibaki na afro tu.
Nikipata mtoko hata mafuta ya nazi twende na zinashine mbayaa [emoji108]
 
Tena hapo kwenye mtoko ndo mtihani.... Mi siku nyingine hua naahirisha church kisa nywele.... Au mjini kama zimefumuka napata uvivu kutoka kwakweli. Ngoja tu nitaja nyoa tu
 
Tena hapo kwenye mtoko ndo mtihani.... Mi siku nyingine hua naahirisha church kisa nywele.... Au mjini kama zimefumuka napata uvivu kutoka kwakweli. Ngoja tu nitaja nyoa tu
Nywele na matunzo yake ni utumwa.
Nitakushtua nikinyoa nikupe challenge[emoji12]
 
Jamii forum bwana,usipokuwa makini unaweza kwenda kwa mganga wa kienyeji ilikusafisha nyota..mpaka sasa sijui kwanini sijatajwa.
 
Nimekuona jamaniiiiii.
Ngoja nianze kukufuatilia.
Mimi nawazimia wanaume wenye akili kubwa,wanaochambua mada kwa hoja nzitonzito....are you the one?
[emoji12] [emoji12]
Discriminatoon,Segregation.
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Back
Top Bottom