Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
HaaaaHaya ndo huwaga majibu ya wanawake waliojaza YOUTONG ya anaowazimikia.... yaani konda anadhani yeye ndo anazimikiwa, dereva naye hivyo.... yaani kola mtu anadhani kuwa yuko peke yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaaaHaya ndo huwaga majibu ya wanawake waliojaza YOUTONG ya anaowazimikia.... yaani konda anadhani yeye ndo anazimikiwa, dereva naye hivyo.... yaani kola mtu anadhani kuwa yuko peke yake
Hukosekani Jukwaa la siasa!Nimekuona jamaniiiiii.
Ngoja nianze kukufuatilia.
Mimi nawazimia wanaume wenye akili kubwa,wanaochambua mada kwa hoja nzitonzito....are you the one?
[emoji12] [emoji12]
Naanzaje kukosekana mkuu?Hukosekani Jukwaa la siasa!
Nzuri,nimeipenda [emoji122] [emoji122]Nifah style ya maria umeiona[emoji3][emoji3]![]()
Nzuri,nimeipenda [emoji122] [emoji122]
Woooow [emoji39] [emoji39] [emoji39]Kuna mdada pale maeneo ya mikocheni anasuka vizuri bei poa
Haya tumekuonaMi napita tu[emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetishaaa MoniiWanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf?
Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi.
Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni namna anavyopost nilifanya juhudi binafsi mpaka nikabahati kumuona kiukweli ni mtu anayejielewa na mwenye msimamo sana nilijaribu kumchomekea mambo fulani kabla sijaolewa lkn akanijibu kwa upole im sorry nafasi imejaaa. Nawewe mwenzangu emu funguka.
ThanksThe Bold,Mseza Mkulu na Pitachoka sema alivobadili avatar ya kikatuni sio sanaaa kama mwanzoni.
Daah naona Leo umetajwa hahaaThanks
mito yupo, ila ametingwa kidogo; soon utamuonaNamkubali mito
Yu wapi huyu kaka siku izi jamani
Acha tu imebidi nireply ili ikae ktk kumbukumbu zangu.. BTW wewe umemtaja naniDaah naona Leo umetajwa hahaa
Natamani kuona kwa mbeleNzuri,nimeipenda [emoji122] [emoji122]
Mi ni me, kumkubali mshana it means na wewe mchawi km yeywMimi binfsi navutiwa sana na mshana jr anapost hekima tupu
Muambie akutumie mom.Natamani kuona kwa mbele