Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Ushafika stage of no return lazim uliwe tu.

Na huyo dogo atakusumbua, kijana wa miaka 28 adate na maza wa 39. Yaani umemzidi 11 yrs, una watoto na uliolewa.

Chekecha mbongo hiyo, simzibii fursa dogo ila mbeleni atakusumbua tu.
 
Me naona endelea tu kuvumilia huyo kijana bado mdogo sana ni ngum kukumudu.
Akiendelea mwambie akupe muda zaidi alafu kati ya huo muda umempa ndo utaijua akili yake iko vipi zaid.
Mungu akutetee.
 
We lazima uliwe Kama ulivyokula vya watu....mtu Kama humtaki Inabidi um avoid mazoea nae tangia mwanzoni Wala usipokee misaada Wala zawadi zake ....My friend remember MLA,.....HULWA😁😁😁😁😁
au unasemaje mzee mwenzangu mzabzab ?
 
Uje nikupe tuition.
 
🀣 🀣 🀣 🀣 Mla hulwa. Walane tu na waendelee kupeana raha.
 
Na anajitetea kabisa eti alivyomtongoza akajiepusha asimjibu vibaya .R
Tangia siku u
Ya kwanza alivyoona anataka kupewa msaada na kivulana basi angechagua amjibu vibaya au ajirpushe kumjibu vibaya sio mwishoni tayari kashakula vya kutosha
 
Hakika MLA,Hulwa......yaani aliwe tu Kama alivyokula vya watu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hajala vya watu kaka alifanya tu hisani. Dada atii kiu yake kama anahitaji pa kupunguzia miwasho ya mwili wapeane once in a while.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…