Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipm dear tuongeeStory inafanana na yako tena mwenzio nilikuwa na upinzani hadi na wadada wa bongo movie wanamtaka kijana kachafuka fedha!
Mengine ambayo anayo nitaku pm hapa sichelewi kuharibu maana sijui kujibana nitapigwa ban bure [emoji1787]
Alishaliwa anajuta sasa??Vipi dear Sis ,baada ya kupitia comments za watu finally umeamuaje?
Mpe mzigo kijana aushughulikie, mbona Maria Carey alimkubalia Nick Canon kwa tofauti ya miaka 10 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️Habari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao.
Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.
Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.
Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waongo tu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.
Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi.
Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night.
Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.
Kiukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.
Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.
Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.
Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutaka kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tu dear.
Wanawake wenzangu naombe ushauri mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.
Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena ninaye mzidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.
Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambia atanisaidia.
Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.
Karibu mwenzangu.
UPDATE
Post in thread 'Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?' Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?
mhhh mrejeshoVipi dear Sis ,baada ya kupitia comments za watu finally umeamuaje?
Duh una roho ngumu sana ww mzee duuh[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]unawezaje kuchapa kibibi asee,kwanza kina hata utelezi..... mamaerrrUmri si tatizo kabisa Mimi ni kijana pia Nina miaka 30 nilikua na mahusiano na mtu ana miaka 62 mwanzoni nilikua naona noma ila nilivomzoea nilikua namkunja bibi yule hahahahaha yani Atari na alikuwa kiongozi anaheshimika sana ila hakuna aliyewai kuhisi, sasa we we ni mdada bado MPE jamaa nyama afurahie maisha isipokua jua jambo mnaenda kufanya zinaa na mungu hapendi tafakari hili
Naamni kijana wa miaka 28, hawezi kuwaza future yoyote na wewe amekutamani weupe na shepu lako kama ulivyojinadi.
kama na wewe umemtamani tu mkubalie mufurahie penzi kwa muda mbele huko umuache kijana wa watu atafute binti wakumuoa.
kama umependa kijana wa watu na unawaza kuishi naye kama mume, nikupe pole maana kwa asilimia zote yeye hatoweza kuishi na wewe mtu mzima hivyoo.
lakini kwa yote kwa yote mapenzi hayana ushauri wakukamilika. utajua mwenyew na hisia zako