Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

Habari wanaJamiiForums.

Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana hivyo hivyo na Baba yao.

Ni kitu kilinishitua sana na kuniacha na maumivu makali sana. Sasa ni single mother nilijaribu kumove on ila mtu yule alikuwa ni mume wa mtu nilikuja kujua baada ya miezi 7 kwenye mahusiano.

Sasa wanawake wenzangu naombeni ushauri kwa hili mimi ninaishi tuu na watoto wangu na ninajishughulisha na salon ya kike ni kibwa sana, pia nauza na vinywaji kama soda na juice.

Sasa miezi kama 9 iliyopita nilifahamiana na kijana mmoja anaumri wa miaka 27 kwenda 28. Mara nyingine sipendi mazoea na wanaume nawaona kama ni waongo tu. Lakini huyu nilimzoea kwa sababu la jina lake ni la kabila letu means wote ni kabila moja.

Alijua maisha yangu ninayoishi kwani alikuwa anakuja kununua mtindi sana maana nauza na mtindi.

Tulibadilishana namba za simu na kuwasiliana , na kuna kipindi tukawa hata tunapiga story hata night.

Nilimzoea kiasi cha kujua maisha yangu na kuanza kuniasidia hasa watoto wangu.

Kiukweli alinisaidia sana tena sana, nikawa ninamshukuru kwa lile, pia alinisaidia kuninunulia hata baadhi ya Vifaa vya salon vya kisasa kwenye salon yangu. Kwa kweli ukalibu nae uliongezeka.

Yeye anafanya kazi na ana gari na mishe zake zingine.

Sasa ishu ni kwamba kama 3 weeks ago aliaanza kuniambie kuwa ananihitaji mimi nikufahamu home kwake niende nipajue na kupiga nae story. Alivyoniambia hivyo nikajua nia yake ni nini. Kusema ukweli nilimzungusha kama 1 week hivi.

Ila mwishowe akaanza kunitongoza siunajua vijana. Sasa sikumjibu lolote kwani sikutaka kumjibu vibaya kwa urafiki tulionao. Tena akaenda mbali zaidi na kuniambie usijali tutapima ili tuwe safe dear. Nikamwambia sawa tu dear.

Wanawake wenzangu naombe ushauri mimi mama nina 39 japo ndio nina mvuto na ni mweupe kiasi na shape yangu na sauti yangu hii. Nimeshidwa kumkatalia wala kumjibu vibaya.

Ila naona ni kijana mdogo tena wakumvulia chup* kweli. Naona kama nikifanya hivi anaweza hata tangaza kwa vijana wenzie, maana ndo tabia ya vijana wadogo. Pia katika maisha yangu sijawahi kusexy na kijana mdogo tena ninaye mzidi umri zaidi ya 10 years, wote niliokutanao wamenizidi mimi umri.

Pia nahitaji kuanzisha bishara nyingine aliniambia atanisaidia.

Sasa kama kuna mwanamke mwenzangu amewahi kutembea na kijana mdogo aliyemzidi umri kiasi hicho hata kama sio hivyo anipe experience kidogo nijue namna ya kudeal ni hii.

Karibu mwenzangu.

UPDATE
Post in thread 'Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?' Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?
Napendekeza wanaume wakushauri pia watakujenga zaidi
 
Anakula nini labda?
Mtu mwingine anatamani uzee ama ukubwa wa mtu ndiyo hisia zake zinashika sawa sawa!
Anaweza Kuwa Anatamani Ukubwa Wa Mtu Lakini Huyo Mtu Mkubwa Athumani Kichwa wake Mdogo.
Ila Simshauri Ampe utamu Huyo Kijana Ukimwi Upo,Mimba Zisizotarajiwa,Gono,Dhambi,Moto
 
Vijana utagegedwa hadi ukome.wanataka syle zote .sitaki hata kwa hela
Bora wazee udeke zako.achana nae
 
Kwani anataka akuoe au akukule tu na kusepa!?
Kama ndoa go for it,
Kama kukulana tu daah!! Mshinde shetani usizini.
 
Udhaifu ulio uonesha kwenye post hii.

* Ana gari na ana kazi yake.

* Mimi ni mweupe na Nina mvuto.

Itoshe kusema una tamani anavyo kupa ila hutaki kumpa utamu hamuwezi kuhitimisha vizuri.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi hayana umri ajilie raha zake, mimi mwenyewe nina mpango wa kuchukua ki IST kangu kimoja nikitafune hadi mifupa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu mie sikuweziii.
 
Mapenzi hayana umri ajilie raha zake, mimi mwenyewe nina mpango wa kuchukua ki IST kangu kimoja nikitafune hadi mifupa [emoji1787][emoji1787]

Ndio maana nina vyeti viwili vya kuzaliwa
Kwa nilivyo nitafaidi japokua nina age ya mbalii
 
Haaaa dear,
Umewahi wewe ilikuwaje hata pm njoo dear

Mrejesho wako ulio tu update unaujua wewe tu na [mention]Cvez [/mention] sisi wengine hatujui na ulikuja tuomba ushauri
Wengine tunasita kushauri sababu unasema mlikutana Pm na cvez na umeshaamua kutumia ushauri wake

Tuandikie kile ulichoamua mama yetu na dada yetu
 
Naomba unipm naomba nikuulize kitu

Akakushauri kusagana?
Raha jipe mwenyewe manake ukajisigue simi lako au waku blend wanawake wenzako mama yetu

Ushauri ndio huo tu mwanakwetu mimi nimetangulia kusema ili ubadilishwe na hata ukisemwa uwe unajua kabisa
 
Back
Top Bottom