Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Mrefu,handsome asiwe muwa sana na asiwe nyanya sana katikati na awe vizuri 6Γ—6,pesa kila mtu ana zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha haha safi sana we ndio mwanamke unatafutwa ila nimecheka hapo uliposema asiwe muwa Sana [emoji13][emoji13]

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Ok, kumbe umeolewa tayari?

Hebu acha tusikie vigezo vya teenagers, wewe umeshakua veteran!

No hard feelings!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

- KANA -
 
Samahani mtoa mada ni kwanini hao wenye shape ya namba moja huwa kamjamaa kamenyweaaa, kwani ukipiga tizi kamjamaa kanapotea?
Inaonekana mefanya research ya kutosha!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

- KANA -
 
Game iwe nzuri halafu ila kama huna hela tena utachosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na hela ......hiyo ishu lazima ikushinde tu

Ukiwa na nguvu za kiume.....hela huwezi kuwa nayo

Na haya mambo yanategemeana ...hela tu bila nguvu ....kugongewa ni lazima
Nguvu bila hela ...kugongewa ni lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122] This is some philosophical sh*t... [emoji109]

Im takin notes!

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
nimependa ueongea ukweli,,to be honest wanawake wanapenda kukunwa vizuri aise,,,,na kuna mmama nilimsugua kwa kila rafu nilimtindua kihuni sana nikajua atamind nikimaliza,,cha ajabu kaiganda kama nta
 
Kila mwanamke ana matamanio yake ya kiuchumi kutoka kwa mwanaume......kama mwanamke ana ndoto ya kuishi kwenye ghorofa maana yake wasio na maghorofa ni maskini..........nadhani umepata mantiki yangu mkuu
Labda wewe unasemea kwa watoto wa mama au wazee my dear kuna wenye vyote ana pesa na bed anakaza kisawasawa... Mpaka unaweza kimbia [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaitwa heshima mzee!!!! Si kwamba hatujui adabu lakini ukinipa nikashiba kwa nini nisikufanyie masaji na kukanda miguu na mbupu kwa maji ya uvuguvugu.......lakini ukinichafua ........nakuwa mwajuma ndala ndefu tu upambane na shombo zako
nimependa ueongea ukweli,,to be honest wanawake wanapenda kukunwa vizuri aise,,,,na kuna mmama nilimsugua kwa kila rafu nilimtindua kihuni sana nikajua atamind nikimaliza,,cha ajabu kaiganda kama nta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha,,namshkuru Mungu nipo fresh na hivi naendaga gym kupasha na pia kula vizuri ni mwendo wa kutindua vizuri tuuu,,,achana na kitu inasinyaa na kutanuka yaani ni kusugua kisawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…