Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Tunamaanisha huwa hatuangalii vitu vingine zaidi ya uchumi hakipo kingine mkuu yani ni pesa , pesa , pesa mpaka mwisho vifua kwa teenagers kabla sijakua na kabla sijaolewa nakumbuka nilikua napenda mwanaume mweusi mrefu mwenye meno meupe na macho meusi lol lkn nilikuja kuolewa tofauti kabisa na vigezo vya muonekano tofauti nikisema nirejee hivyo vigezo vya muonekano nilifeli pamoja na hayo nikakituliza kabisa[emoji16] so nikaelewa kuwa pesa ni kitu kingine mkuu wee acha tuu
Ok, kumbe umeolewa tayari?

Hebu acha tusikie vigezo vya teenagers, wewe umeshakua veteran!

No hard feelings!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

- KANA -
 
Samahani mtoa mada ni kwanini hao wenye shape ya namba moja huwa kamjamaa kamenyweaaa, kwani ukipiga tizi kamjamaa kanapotea?
Inaonekana mefanya research ya kutosha!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

- KANA -
 
Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)View attachment 1069700


muhogo,nazi,karanga,tende,asali
Game iwe nzuri halafu ila kama huna hela tena utachosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na hela ......hiyo ishu lazima ikushinde tu

Ukiwa na nguvu za kiume.....hela huwezi kuwa nayo

Na haya mambo yanategemeana ...hela tu bila nguvu ....kugongewa ni lazima
Nguvu bila hela ...kugongewa ni lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122] This is some philosophical sh*t... [emoji109]

Im takin notes!

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
Pesa pesa pesa

Hamna mwanamke asiyependa uhakika wa maisha yake na wanae

Tunatofautiana kuyavumilia mapito magumu kiuchumi

Lakini tangu zamani ilikuwa binti akipata mchumba itaangaliwa familia ya mchumba wake uwezo wake kiuchumi kama idadi ya mifugo, mashamba nk

Utaulizwa mumeo mtarajiwa anafanya shughuli gani

Sijishughulishi kabisa na muonekano wa mwanaume

Mwanaume awe na uchumi mzuri + nguvu za kiume......dunia kwake ni pepo

Sent using Jamii Forums mobile app
nimependa ueongea ukweli,,to be honest wanawake wanapenda kukunwa vizuri aise,,,,na kuna mmama nilimsugua kwa kila rafu nilimtindua kihuni sana nikajua atamind nikimaliza,,cha ajabu kaiganda kama nta
 
Kila mwanamke ana matamanio yake ya kiuchumi kutoka kwa mwanaume......kama mwanamke ana ndoto ya kuishi kwenye ghorofa maana yake wasio na maghorofa ni maskini..........nadhani umepata mantiki yangu mkuu
Labda wewe unasemea kwa watoto wa mama au wazee my dear kuna wenye vyote ana pesa na bed anakaza kisawasawa... Mpaka unaweza kimbia [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaitwa heshima mzee!!!! Si kwamba hatujui adabu lakini ukinipa nikashiba kwa nini nisikufanyie masaji na kukanda miguu na mbupu kwa maji ya uvuguvugu.......lakini ukinichafua ........nakuwa mwajuma ndala ndefu tu upambane na shombo zako
nimependa ueongea ukweli,,to be honest wanawake wanapenda kukunwa vizuri aise,,,,na kuna mmama nilimsugua kwa kila rafu nilimtindua kihuni sana nikajua atamind nikimaliza,,cha ajabu kaiganda kama nta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaitwa heshima mzee!!!! Si kwamba hatujui adabu lakini ukinipa nikashiba kwa nini nisikufanyie masaji na kukanda miguu na mbupu kwa maji ya uvuguvugu.......lakini ukinichafua ........nakuwa mwajuma ndala ndefu tu upambane na shombo zako

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha,,namshkuru Mungu nipo fresh na hivi naendaga gym kupasha na pia kula vizuri ni mwendo wa kutindua vizuri tuuu,,,achana na kitu inasinyaa na kutanuka yaani ni kusugua kisawasawa
 
Back
Top Bottom