Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

..ukiwa mwembamba sana afu mrefu nakuona kama mdoli...wenye six park wanapendwa tatizo wana mambo mengi bora tuendelee tu na wanaume wa...............japo wengi hawatunzi miili yao.
 
..ukiwa mwembamba sana afu mrefu nakuona kama mdoli...wenye six park wanapendwa tatizo wana mambo mengi bora tuendelee tu na wanaume wa...............japo wengi hawatunzi miili yao.
Hiyo ............sijaielewa
 
Hiyo ............sijaielewa
Wa maofisini wana hela wanahudumia ila wengi miili mibaya awa wahuni wa mtaani ndo unakuta wako vzuri ata mkitembea ukimbana mkono ivi unaona raha ila wao sasa majanga mara mia.
 
Kukuta mkaka anaeshinda job siku nzma tena ofisin awe na mwili mzur ni kaz sana kama kukuta mwanamke aliezaa ana english figure wengi wanajiachia tuu.
 
Umeambiwa utaje vigezo vingine tofauti na pesa, wewe unataja pesa.

Kwa akili ya aina hii, wanaume wenye pesa utaishia kuwasikia tu!

- KANA -
Anaonekana ana njaa kali
 
Hivi dawa ya kukuza nywele za kifuani zinapatikana wapi? Maana naona hii kitu ni dili kwa wanawake[emoji16]
 
Ngozi nyeuc nadra muno kukuta ana ndevu, au nywele za kifuani isipokuwa wachache sanaaa. Na mabinti huenda wengi wao wanapenda ivyo vi2.
 
Hivi dawa ya kukuza nywele za kifuani zinapatikana wapi? Maana naona hii kitu ni dili kwa wanawake[emoji16]

Kama umeumbwa huna ndevu na vinywere vya kifua bac kausha tu. Dawa hakuna, utariwa hella zako mzehe.
 
Hahahahhahh

Harafu mabinti weuc wakimpata white uwa wanawaona wanawake wengine co 🀣 especially aorewe na mwarabu au muzungu tena OG dah, atakuambia nitapata vitoto viupe nywele ndefu na vizuli kama nini 🀣 jamaniiii. Ni zarau ya hali yajuu aise.
 
Wanaanza kutuona sisi kaka zao cheusi chungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…