Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)View attachment 1069700

muhogo,nazi,karanga,tende,asali
..ukiwa mwembamba sana afu mrefu nakuona kama mdoli...wenye six park wanapendwa tatizo wana mambo mengi bora tuendelee tu na wanaume wa...............japo wengi hawatunzi miili yao.
 
..ukiwa mwembamba sana afu mrefu nakuona kama mdoli...wenye six park wanapendwa tatizo wana mambo mengi bora tuendelee tu na wanaume wa...............japo wengi hawatunzi miili yao.
Hiyo ............sijaielewa
 
Hiyo ............sijaielewa
Wa maofisini wana hela wanahudumia ila wengi miili mibaya awa wahuni wa mtaani ndo unakuta wako vzuri ata mkitembea ukimbana mkono ivi unaona raha ila wao sasa majanga mara mia.
 
Kukuta mkaka anaeshinda job siku nzma tena ofisin awe na mwili mzur ni kaz sana kama kukuta mwanamke aliezaa ana english figure wengi wanajiachia tuu.
 
Hivi dawa ya kukuza nywele za kifuani zinapatikana wapi? Maana naona hii kitu ni dili kwa wanawake[emoji16]
 
Ngozi nyeuc nadra muno kukuta ana ndevu, au nywele za kifuani isipokuwa wachache sanaaa. Na mabinti huenda wengi wao wanapenda ivyo vi2.
 
Hivi dawa ya kukuza nywele za kifuani zinapatikana wapi? Maana naona hii kitu ni dili kwa wanawake[emoji16]

Kama umeumbwa huna ndevu na vinywere vya kifua bac kausha tu. Dawa hakuna, utariwa hella zako mzehe.
 
Hahahahhahh

Harafu mabinti weuc wakimpata white uwa wanawaona wanawake wengine co 🤣 especially aorewe na mwarabu au muzungu tena OG dah, atakuambia nitapata vitoto viupe nywele ndefu na vizuli kama nini 🤣 jamaniiii. Ni zarau ya hali yajuu aise.
 
Harafu mabinti weuc wakimpata white uwa wanawaona wanawake wengine co [emoji1787] especially aorewe na mwarabu au muzungu tena OG dah, atakuambia nitapata vitoto viupe nywele ndefu na vizuli kama nini [emoji1787] jamaniiii. Ni zarau ya hali yajuu aise.
Wanaanza kutuona sisi kaka zao cheusi chungu
 
Back
Top Bottom