tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Aug 11, 2021 #121 Duuu kazi ipo
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Aug 11, 2021 #122 Maisha yenyewe maguuumuu
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 16,993 Reaction score 65,237 Aug 11, 2021 #123 Siri ya sifuri said: weka picha ya hiyo shape yako inayokuvutia, unaweza kuwa riziki yangu mummy!! Click to expand... Hata sina hiyo picha mpendwa wangu,labda unisaidie na yako
Siri ya sifuri said: weka picha ya hiyo shape yako inayokuvutia, unaweza kuwa riziki yangu mummy!! Click to expand... Hata sina hiyo picha mpendwa wangu,labda unisaidie na yako
Siri ya sifuri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,335 Reaction score 1,967 Aug 11, 2021 #124 ledada said: Hata sina hiyo picha mpendwa wangu,labda unisaidie na yako Click to expand... usijali my, hata hivyo yangu mimi mfano wake ni moja wapo ya hizo picha zilizopo hapo.
ledada said: Hata sina hiyo picha mpendwa wangu,labda unisaidie na yako Click to expand... usijali my, hata hivyo yangu mimi mfano wake ni moja wapo ya hizo picha zilizopo hapo.
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,918 Reaction score 13,885 Aug 11, 2021 #125 We jidanganye tu shape siku akikupata anaanza kukulisha vyakula vingi vingi ili unenepe kama funza ili wasije kukutamani huko nje na wanawake wengne.
We jidanganye tu shape siku akikupata anaanza kukulisha vyakula vingi vingi ili unenepe kama funza ili wasije kukutamani huko nje na wanawake wengne.
Sol de Mayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 6,515 Reaction score 6,230 Aug 14, 2021 #126 green rajab said: Wanaanza kutuona sisi kaka zao cheusi chungu Click to expand... Aisee unavunja mbavu zangu shehe 🤣🤣🤣
green rajab said: Wanaanza kutuona sisi kaka zao cheusi chungu Click to expand... Aisee unavunja mbavu zangu shehe 🤣🤣🤣