Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

We jidanganye tu shape siku akikupata anaanza kukulisha vyakula vingi vingi ili unenepe kama funza ili wasije kukutamani huko nje na wanawake wengne.
 
Back
Top Bottom