Hahahah huo ndio ukweli, hakuna mwanaume wa kiafrika anapenda demu jau sema ni hali ya maisha tu. Ila kila mtu angekuwa na equal opportunity ya kuchagua mwanamke anayemtaka wengi tungeangukia kwenye rangi ya ndizi kisukari😂!
Kuna raha ya kuchanyata K ambayo iko wrapped in light skin na ndio maana vipodozi vya kumfanya mwanamke awe mweupe vinauza sana. Kama weusi dili wa vipodozi wasingeuza😂,,,asilimia 98% ya wanawake wanapigana vikumbo kwenye maduka ya vipodozi wakisaka weupe wa ngozi ili wavutie wanaume kirahisi.