Wanawake weupe wanagawa sana utamu kwa kigezo cha UZURI 🫣.

Wanawake weupe wanagawa sana utamu kwa kigezo cha UZURI 🫣.

Itakua una rafiki 'mweupe' kila mkitoka anatongozwa yeye tu,
Angalia wivu wako usije ukakupeleka kwa waganga wa kienyeji ukawa kigagula
 
Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu.
Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa.
Eee..niongeze sauti au nipunguze 🤣🤣🤣.
Sina chuki nao lakini.mimi ni chocolate 🍫 girl 🥰
We ni jinsia gani?
 
Back
Top Bottom