Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,231
- 3,737
Acha wivu, wanawake wote siku hizi wamekuwa kitonga sana mpaka tunaogopa kuoa.Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu.
Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa.
Eee..niongeze sauti au nipunguze 🤣🤣🤣.
Sina chuki nao lakini.mimi ni chocolate 🍫 girl 🥰