Wanawake weupe wanagawa sana utamu kwa kigezo cha UZURI 🫣.

Wanawake weupe wanagawa sana utamu kwa kigezo cha UZURI 🫣.

cheusi mangala tulikua tumetulia zetu hatuna hili wala lile dah😢😢🤣
Kwenye watu weusi nakuhakikishia wewe hutotoka mbele unawajua wa sudani kusini 🏃🏃

Screenshot_20260814-133414.png
 
Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure.
Ni tofauti sana na wanawake weusi.
Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo.
Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu.
Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa.
Eee..niongeze sauti au nipunguze 🤣🤣🤣.
Sina chuki nao lakini.mimi ni chocolate 🍫 girl 🥰
Labda huko kwa wasukuma
 
Back
Top Bottom