Bila shaka na Mama J atajoin hii kikao. She has been embarrassed in public!Tukutane hapa tupange mikakati...tusifanye makosa
Jamani Ila watz si aliyesema naye ni rangi hiyohiyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tumechoka kupigwa madogo jukwaani, tena kama mimi nilivyo black kuniona hadi utumie tochi hata kama ni mchana, nina hasira yani usiku wankuamkia 28 silali nisije nikapitiwa usingizi nikasahau kwenda kwenye boksi la maamuziTukutane hapa tupange mikakati...tusifanye makosa
Hahaha ila hisia zangu huwa zinaniambia we ni cheupeTumechoka kupigwa madogo jukwaani, tena kama mimi nilivyo black kuniona hadi utumie tochi hata kama ni mchana, nina hasira yani usiku wankuamkia 28 silali nisije nikapitiwa usingizi nikasahau kwenda kwenye boksi la maamuzi
Mimi ni cheusi kama mkaaπππHahaha ila hisia zangu huwa zinaniambia we ni cheupe
Kwani Ankoo na wewe ni rangi... Hata sijui nilitaka nisemaje?!!Watakuwa wamefanya jambo la msingi sana kutuunga mkono
Support your fellow ladies on their issues[emoji23][emoji23]
mimi pia ni cheusi mangala πSupport your fellow ladies on their issues