Wanawake weusi tar 28 October tuna jambo letu

Wanawake weusi tar 28 October tuna jambo letu

1602381358181.png
 
Wewe na UZWAZWA wako ndiyo wa kujiongeza. Huyo angekuwa anamthamini na kumpenda mkewe asingekuwa na msururu wa watoto wa nje na pia kufikia kumgombea Jokate hadharani. Pia utaendelea kupiga makofi kwa huyo anayejiita MWENDAWAZIMU hata kama mama na shangazi zako wanatishwa na kudhalilishwa na huyo mbaguzi.
Watu mnapaniki kwa vitu vidogo sana. Hata hamjiongezi, rais mnayedai anawabagua wanawake weusi mke wake ni mweusi na kaishi nae kwa miaka karibu 30+...

Hivi ni ujinga wa bavicha au ujinga wa bawacha unawatafuna?
 
Back
Top Bottom