Wanawake weusi tar 28 October tuna jambo letu

Wanawake weusi tar 28 October tuna jambo letu

Picha za wanawake weusi please wengine tumekulia usukumani hatujawahi kuwaona
 
Kikao chenu kibarikiwe kwa jina la Yesu Kristo na jambo lenu likafanikiwe sana nama roho zenu zifanikiwavyo 👏👏👏
 
Tumechoka kupigwa madogo jukwaani, tena kama mimi nilivyo black kuniona hadi utumie tochi hata kama ni mchana, nina hasira yani usiku wankuamkia 28 silali nisije nikapitiwa usingizi nikasahau kwenda kwenye boksi la maamuzi
Nawapenda weusi mpaka homainakuja,sijawai fall in love na mwanamke mweupe kamwe,mweusi nachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom