Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmepata sera mpya, kwa hiyo weusi wenu utaleta maendeleo kwa nchi. Kweli maendeleo ya watu na sio vituTukutane hapa tupange mikakati...tusifanye makosa
Umepoteana kabisa aiseeeNzuri mkuu: za kwako?
Hebu njoo pm tuyajenge,maana Mimi nilikua natafuta weusi,black is beautifulTumechoka kupigwa madogo jukwaani, tena kama mimi nilivyo black kuniona hadi utumie tochi hata kama ni mchana, nina hasira yani usiku wankuamkia 28 silali nisije nikapitiwa usingizi nikasahau kwenda kwenye boksi la maamuzi
Pole mkuu, umeshachelewa, jaribu kule love connect utapata cheusi mangala muruaaa kabisaHebu njoo pm tuyajenge,maana Mimi nilikua natafuta weusi,black is beautiful
Mkuu wa nchi hatupendi kabisa, anatuona kama nuksi, tukimpa mitano anaweza toa amri kwamba kwenye huduma muhimu za kijamii wahudumiwe wanawake weipe tu, weusi tuhamia ugandaNawapenda weusi mpaka homainakuja,sijawai fall in love na mwanamke mweupe kamwe,mweusi nachanganyikiwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Magufuli is a country bumpkin.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wapenda soka pia wataungana na nyie kukamilisha jambo lenu. Walichofanya pale kwa mkapa sio sawa kabisa.
Nipo banaaaUmepoteana kabisa aiseee
Embu niambie alisemaje jamani? Na kwa nini hatupendi?Mkuu wa nchi hatupendi kabisa, anatuona kama nuksi, tukimpa mitano anaweza toa amri kwamba kwenye huduma muhimu za kijamii wahudumiwe wanawake weipe tu, weusi tuhamia uganda
Hahah hi amu na wewe ni mweusi kama gari ya mkaka? 28 octiber usikoseEmbu niambie alisemaje jamani? Na kwa nini hatupendi?
Kawaambia ukweli ,shida iko wapi?Tumechoka kupigwa madogo jukwaani, tena kama mimi nilivyo black kuniona hadi utumie tochi hata kama ni mchana, nina hasira yani usiku wankuamkia 28 silali nisije nikapitiwa usingizi nikasahau kwenda kwenye boksi la maamuzi
Kaka na baba zenu tunawaunga mkono kuondoa huo unyanyapaa wa wanawake weusiTukutane hapa tupange mikakati...tusifanye makosa
Weusi wa namna hiyo ndiyo ugonjwa wangu, karibu Pm tujenge nchi.Tumechoka kupigwa madogo jukwaani, tena kama mimi nilivyo black kuniona hadi utumie tochi hata kama ni mchana, nina hasira yani usiku wankuamkia 28 silali nisije nikapitiwa usingizi nikasahau kwenda kwenye boksi la maamuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msukuma huyu jamaniHahah hi amu na wewe ni mweusi kama gari ya mkaka? 28 octiber usikose
Alisema ati mwanamke mweipe akienda ofisini kwake anamuhudumia wa kwanza hata lama kuna weusi waliotangulia
Kwa kifupi weupe wana haki kuliko sisi wasauzi sudani