Wanawake weusi wana mvuto wa kipekee sana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake
Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi vichache

Hawa viumbe wana sifa za kuu mbili..
Sifa za ndani na sifa za nje

Sifa za ndani
Wengi hawanuki kikwapa bali hunukia kike
Asilimia kubwa wana joto la kike la asili
Kwa sehemu kubwa ni romantic sana nk

Sifa za nje
Ngozi nyeusi nyororo
Macho makubwa meupe
Meno meupe
Shape
Midomo ya huba
Vidole vya kike nk
Wakibaki hivi hivi huvutia sana.. Lakini wengi hujiharibu kwa
Kuanza kuvaa nywele bandia
Kubandika kope bandia
Kubandika mikucha bandia ya plastic
Kujichubua kwa madawa makali
Kujikoboa kwa kemikali hatari

Mwisho wa siku huonekana kituko.. Ngozi hupoteza ule mng'ao wake wa asili wa kuvutia na kuanza kushambuliwa na magonjwa ya ngozi
Mwisho wa siku mwili mmoja inakuwa kama pepsi Mirinda.. Mabaka kila mahali.. Na kwakuwa ngozi imeshapoteza udhibiti wake wa asili huanza kufa kwa kuoza taratibu na ndipo hapo maharufu ya ajabu ajabu hujitokeza

Na kwakuwa athari za kuoza huanzia ndani ya mwili basi harufu hukimbilia kwenye maeneo yenye ngozi laini zaidi kama ukeni na kwapani

Imagine
Kichwani kuna kemikali zimewekwa
Usoni kuna kemikali zimepakwa
Sehemu nyingine za mwili vilivile
Ngozi ya binadamu ina vitundu vinavyonyonya hizo kemikali zote na kwenda kuleta athari kubwa mwilini
Binti mrembo kabisa alikuwa ananukia kikeπŸ˜‹ lakini ghafla anaanza kunuka kikwapa! Ananuka ukeniπŸ₯΄ .. Badala ya kutafuta chanzo ninini anakimbilia kwa wauza madawa yaleyale yenye kemikali ayaingize huko yakate hizo harufu mbaya

Huku sio kutatua tatizo bali ni kuongeza tatizo.. Mwisho wa siku zile ladha zote mashineni na lile joto vinakufa na kubakiwa na minyama iliyolegea na kuwa na sura ya kutisha sana!😜 mashavu yamelegea kama ya bibi kizee😁 hakuna mnato tena!😭
Big respect kwa wanawake weusi wote waliobaki na ngozi zao asilia.. Mna nafasi yenu maalum sana ndani ya mivungu ya mioyo getuβ€πŸ“ŒπŸ’ͺ🏿

nawapenda sanaπŸ“Œ
 
Si utani huyu kanibaka jumla akili,moyo na viungo shirikishi!
 
Hatimaye wale nguchiro watanuna hii ndio Ubaya Ubwela
 
Sema wengi hawajiamini na hawajikubali .

Na wazazi wetu ukitaka kuoa ukamtumia PICHA ya mwanamke mweusi anakuambia huyo HAPANA.

Hii imetokea katika familia nyingi.

Hivyo MTU akiona hawezi kushindana na soko kinachofatia ni kujichubua.
 
Sema wengi hawajiamini na hawajikubali .

Na wazazi wetu ukitaka kuoa ukamtumia PICHA ya mwanamke mweusi anakuambia huyo HAPANA.

Hii imetokea katika familia nyingi.

Hivyo MTU akiona hawezi kushindana na soko kinachofatia ni kujichubua.
Yani mzazi kukataa binti kisa mweusi!!!!???
 
Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake
Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi vichache
Ushahidi unaweza kuupata ukikutana na Prof. Mabala the Farmer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…