Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake
Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi vichache
Hawa viumbe wana sifa za kuu mbili..
Sifa za ndani na sifa za nje
Sifa za ndani
Wengi hawanuki kikwapa bali hunukia kike
Asilimia kubwa wana joto la kike la asili
Kwa sehemu kubwa ni romantic sana nk
Sifa za nje
Ngozi nyeusi nyororo
Macho makubwa meupe
Meno meupe
Shape
Midomo ya huba
Vidole vya kike nk
Wakibaki hivi hivi huvutia sana.. Lakini wengi hujiharibu kwa
Kuanza kuvaa nywele bandia
Kubandika kope bandia
Kubandika mikucha bandia ya plastic
Kujichubua kwa madawa makali
Kujikoboa kwa kemikali hatari
Mwisho wa siku huonekana kituko.. Ngozi hupoteza ule mng'ao wake wa asili wa kuvutia na kuanza kushambuliwa na magonjwa ya ngozi
Mwisho wa siku mwili mmoja inakuwa kama pepsi Mirinda.. Mabaka kila mahali.. Na kwakuwa ngozi imeshapoteza udhibiti wake wa asili huanza kufa kwa kuoza taratibu na ndipo hapo maharufu ya ajabu ajabu hujitokeza
Na kwakuwa athari za kuoza huanzia ndani ya mwili basi harufu hukimbilia kwenye maeneo yenye ngozi laini zaidi kama ukeni na kwapani
Imagine
Kichwani kuna kemikali zimewekwa
Usoni kuna kemikali zimepakwa
Sehemu nyingine za mwili vilivile
Ngozi ya binadamu ina vitundu vinavyonyonya hizo kemikali zote na kwenda kuleta athari kubwa mwilini
Binti mrembo kabisa alikuwa ananukia kike😋 lakini ghafla anaanza kunuka kikwapa! Ananuka ukeni🥴 .. Badala ya kutafuta chanzo ninini anakimbilia kwa wauza madawa yaleyale yenye kemikali ayaingize huko yakate hizo harufu mbaya
Huku sio kutatua tatizo bali ni kuongeza tatizo.. Mwisho wa siku zile ladha zote mashineni na lile joto vinakufa na kubakiwa na minyama iliyolegea na kuwa na sura ya kutisha sana!😜 mashavu yamelegea kama ya bibi kizee😁 hakuna mnato tena!😭
Big respect kwa wanawake weusi wote waliobaki na ngozi zao asilia.. Mna nafasi yenu maalum sana ndani ya mivungu ya mioyo getu❤📌💪🏿
nawapenda sana📌