Wanawake weusi wana mvuto wa kipekee sana

Msije kusema tumewabagua.. Ila hapa kiukweli kabisa.. Huu ni uzuri wa mkakasi... Weka kipimajoto uone itasoma ngapi😀
 

Attachments

  • Register - Login.jpeg
    70.8 KB · Views: 3
Tatizo uzuri wa hiyo rangi ni mpaka uirembe kwa maneno ya kingereza, black is beautiful, black is sweet, na undambwi ndambwi mwingine km huo, tofauti na rangi ya mtume haihitaji kizungu kingi
 
Ukweli Ni kwamba wanawake weusi hawajiamini.
Ndio maana wako tayari kuhatarisha afya ya ngozi ili mradi tu wawe weupe.
Nenda hapo Tukuyu au Mlowo au Makete utarudi na jibu.
 
Sema tu ukwl una yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…