Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea.. unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu [emoji4][emoji4]

Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya kunde etc chukueni [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
huyo mweusi wako ndio kakuzuzua... sema kila mtu ana taste yake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ona hata wasanii % kubwa madem/ wake zao ni weupe!!!
Nyie mnaoa weusi mnaanza kujatongoza wake zetu weupe, mwishoe mnatuua kwa presha 😄😄

Wadada weupe mko wapi nawapigania soko lenu huku nyie kimya!! Mmoja anionge upapa mweupe wenye v v u zi laiiini km vimalaika😄😄😄😄😄😄
Wala usitupiganie, soko letu si gumu wala halijawahi kuwa gumu…
 
Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea.. unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu [emoji4][emoji4]

Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya kunde etc chukueni [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
Yule black beauty leo kakupa style gani mkuu?
 
Back
Top Bottom