Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeokoka???Mbona watu wa hivyo wapo ingawa ni adimu ila uadimu wao unategemeana na aina ya watu ambao wamekuzunguka katika maisha yako ya kila siku ...
Ushauri tu ingawa unachangamsha genge..Usijifariji kwa madhaifu yako kwa kudhani hakuna wasio nayo. JIAMINI
Hahaaa kakata tamaa!hhahahahahaha aunty Acid anasema
A good husband doest cheat doesn't drink doesn't smoke and doesn't exist