Wanawake wote pitieni huu uzi habari njema kwenu

Wanawake wote pitieni huu uzi habari njema kwenu

Mbona watu wa hivyo wapo ingawa ni adimu ila uadimu wao unategemeana na aina ya watu ambao wamekuzunguka katika maisha yako ya kila siku ...

Ushauri tu ingawa unachangamsha genge..Usijifariji kwa madhaifu yako kwa kudhani hakuna wasio nayo. JIAMINI
Umeokoka???
 
hhahahahahaha aunty Acid anasema
A good husband doest cheat doesn't drink doesn't smoke and doesn't exist
 
Mbona sifa hizo za kawaida tu kwa mtu mwenye kujua maana ya utu na mwenye kuheshimu hisia za mwenzie mfano unapocheat utajisikiaje kama mwenzio ndio angekuwa anakucheat! Vaa uhusika fanya maamuzi sahihi!

Naweza kusema sifa hizo ninaziona ndani yangu ila kuhusu uhandsome mhhhh sina uhakika! Hahahahahaha

Maana sifa zingine tajwa ni utashi wa mtu mwenyewe tu!
Ukiamua inawezekana!
 
Back
Top Bottom