Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Wewe huyapendi hayo?Kabisa.. msisahau kujadili na ile topic ya kupunguza kupenda hela na maisha mazuri kuliko Utu na Mapendo...
Hata kama nayapenda ndio kila mtu ninaekuwa nae kama hawezi kuninunulia chips, kuku, vocha na gari nibadilishe?Wewe huyapendi hayo?
Ahahaaa sasa mbegu tutapata wapi?Ni kweli wanawake tunaweza kuzaa, shime tubebe mimba.
Basi siku zote nilijua wewe ni wa kiume... lolHata kama nayapenda ndio kila mtu ninaekuwa nae kama hawezi kuninunulia chips, kuku, vocha na gari nibadilishe?
Ni wa kike?Basi siku zote nilijua wewe ni wa kiume... lol
Kwa wanaume hata kwa wale dizain ya bundle la wiki moja. Unasimamia kucha 24/7 hadi kinase.Ahahaaa sasa mbegu tutapata wapi?
Umeingia choo Cha kikeWanaume tunaruhusiwa kusoma mambo yenu??!!
Maisha baada ya bundle itakuaje? Sidhani kama kuna kitu kibaya kama kumpa mtoto baba wa ovyoovyo!Kwa wanaume hata kwa wale dizain ya bundle la wiki moja. Unasimamia kucha 24/7 hadi kinase.
Najua kila anayecomment hapa ni wa kike (kama heading ilivyojieleza)Ni wa kike?
Ahahaaa wewe kachokozi kumbeNajua kila anayecomment hapa ni wa kike (kama heading ilivyojieleza)
Inabidi achuchumae tu... lolUmeingia choo Cha kike
Baba ni baba. Hakuna baba wa hovyo hovyo.Maisha baada ya bundle itakuaje? Sidhani kama kuna kitu kibaya kama kumpa mtoto baba wa ovyoovyo!
Wa Dar ndio wanaruhusiwa maana hawana tofauti sana na wadadaWanaume tunaruhusiwa kusoma mambo yenu??!!
Kama namuona vile [emoji23]Inabidi achuchumae tu... lol
Huyu ni wakiume yeye anatafuta nyie mnazipenda sasa sijui mtafutaji anapenda au anakuwa na nidhamu na hela yake hata hivyo nyie wajaa laanaWewe huyapendi hayo?