Wanawake wote wa jf tukutane hapa

Wanawake wote wa jf tukutane hapa

Kisha mjadili mswada yafuatayo kutoka kwa wanaume 1;kupunguza mahitaji angalau wengine tuoe maana miaka yanaenda tunabaki bqchelar mnaongezeka tu garama zenu binafsi Kwa Kasi ya 4G 2;mjali zaidi mahari iwafikie wazazi maana wengi mmekuwa was gharma Sana alafu unapewa kila kitu na mwanaume na kuolewaa kimtaani mahari kubwa Ni sukari jamani nawajulisha tu kuwa ndio marupurupu ya wazazi wenu, 3;mlegeze NYODO Basi wengine swaga atujajaliwa muelewe Hilo 4; miaka haiwasubiri okoeni mda muolewe msijidanganye ujana mpaka miaka 30 uku unasema mungu akipenda umeeewaacha wangapi ukitanguliza maslahi!!!!!![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Alafu nyinyi wanawake was dark siku hizi mmetufanya baa wa nyumba Ni si baba wa nyumba nahisi gwajima yupo Nigeria maana angewagusa[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom