Wanawake wote wa jf tukutane hapa

Wanawake wote wa jf tukutane hapa

Kama mwakilishi
FB_IMG_1544873327770.jpeg
 
Kuna mwanaume.anaetaka mtoto kwanza?
Mwanaume asiyetaka mtoto atakuwa na mental illness yaani huyu siyo ila kwa nyie wa kike hamtaki watoto kabisa sijui ooooh sijajipanga mara hadi niolewe nyie wanaume hamwaminiki masababu chungu nzima
 
Ngoja nikae hapa hapa nichungulie pengine mnaelezana namna ya kutuwekea limbwata bora nijkinge mapema
 
Back
Top Bottom