Wanawake wote wa jf tukutane hapa

Wanawake wote wa jf tukutane hapa

[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Shunie
Madam b
Mzigua
Mama Sabrina
Carinah
Espy
Eskylat
Nahuja ,
my bff
Na wengineo

Wanawake tunaweza
Nawaomba kwenye kikao chenu mlijadili suala la wanawake kula tozo ya mahari badala ya wazazi

Tabia ya kupenda zawadi kubwa kubwa kuliko misaada inayopelekwa kwa wazazi wao

Pia msisahau kuwa na roho ya huruma kwenye lile suala la kubanjuka na kutoa mimba za waume zenu, kubambikia mimba waume zenu na baadhi yenu kupachika plastic tumboni kumdanganya mwanaume umebeba mimba yake ili tu upate vijipesa na vizawadi kedekede kumbe umechoma sindano ya kukausha mayai na huna uwezo wa kuzaa tena alafu ndio umempeta mwanaume wa ndoa unabaki kudanganya babe mimba imeharibika.

Mtuletee majibu mazuri Dada zetu, tutawapenda kweli[emoji4]
 
jje's huku mna kikao ukuje.Wamekataa uwakilishi ningekuwakilisha.
 
Sijaridhika kuwepo kwenye kundi la wengineo
Wanaume wote mliokomenti kwenye huu uzi, tukikutana mahali nikakuita shosti usiwe mwepesi kurusha ngumi
Mkutano wa Beijing mwaka 1994 ulikuwa wa wanawake lakini ulifanikishwa na wanaume
UWT ni jumuiya ya wanawake lakini inawezeshwa na akina baba
Bank ya wanawake lakini inaishi kwa nguvu ya wanaume
Hii mada ni ya wanawake lakini imenogeshwa na akina baba...
Bundle na simu mnazotumia.... Simalizii[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Waliingia mkutanoni? Kuna mwanachama mbaba uwt? Nyie endeleeni kutusupport hukohuko nyuma ya pazia

Back
Top Bottom