Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeingia choo Cha kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeingia choo Cha kike
Choo cha kike ni kizuri sana hujajua tu vile wanawake hupenda kujaribu vya tofautiUmeingia choo Cha kike
Watakubaka shauri lakoChoo cha kike ni kizuri sana hujajua tu vile wanawake hupenda kujaribu vya tofauti
Yeah tumekuja kutoa support team pinzaniKuna jipya hapa jamani
Nawaomba kwenye kikao chenu mlijadili suala la wanawake kula tozo ya mahari badala ya wazaziShunie
Madam b
Mzigua
Mama Sabrina
Carinah
Espy
Eskylat
Nahuja ,
my bff
Na wengineo
Wanawake tunaweza
Sijaridhika kuwepo kwenye kundi la wengineo
Mkutano wa Beijing mwaka 1994 ulikuwa wa wanawake lakini ulifanikishwa na wanaumeWanaume wote mliokomenti kwenye huu uzi, tukikutana mahali nikakuita shosti usiwe mwepesi kurusha ngumi
wanaume tuna-comment wap?Shunie
Madam b
Mzigua
Mama Sabrina
Carinah
Espy
Eskylat
Nahuja ,
my bff
Na wengineo
Wanawake tunaweza
[emoji3]Ni kweli wanawake tunaweza kuzaa, shime tubebe mimba.
Mkutano wa Beijing mwaka 1994 ulikuwa wa wanawake lakini ulifanikishwa na wanaume
UWT ni jumuiya ya wanawake lakini inawezeshwa na akina baba
Bank ya wanawake lakini inaishi kwa nguvu ya wanaume
Hii mada ni ya wanawake lakini imenogeshwa na akina baba...
Bundle na simu mnazotumia.... Simalizii[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Halafu sifa mpate nyie Loh... [emoji34]Waliingia mkutanoni? Kuna mwanachama mbaba uwt? Nyie endeleeni kutusupport hukohuko nyuma ya pazia
Kwani mnateseka?Halafu sifa mpate nyie Loh... [emoji34]
Nimekuham mchepuko wangu bebi Vale [emoji307][emoji176][emoji179]Wanaume wote mtoke nje tujadili yetu sie
HapanaKwani mnateseka?
GoodHapana