Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
Wewe usiseme hivo.yaani kuna watu ukizaa nao hata mtoto atakuja kukushangaa sanaBaba ni baba. Hakuna ba a wa hovyo hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe usiseme hivo.yaani kuna watu ukizaa nao hata mtoto atakuja kukushangaa sanaBaba ni baba. Hakuna ba a wa hovyo hovyo.
😂😂😂😂. Una maneno wewe.Wewe usiseme hivo.yaani kuna watu ukizaa nao hata mtoto atakuja kukushangaa sana
Maisha sio pesa .wala sizungumzii kuzaa Na mwenye pesa maana hakuna ajuae kesho .ila sio kila mtu wa kumzalia bna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Una maneno wewe.
Mwanaume wakumzalia niwa aina gani toa wasifu wake hapa nasisi tupate wigo wakutiririka hapa mbona kama vile hujiami?Maisha sio pesa .wala sizungumzii kuzaa Na mwenye pesa maana hakuna ajuae kesho .ila sio kila mtu wa kumzalia bna
Kuna mwanaume.anaetaka mtoto kwanza?Mwanaume wakumzalia niwa aina gani toa wasifu wake hapa nasisi tupate wigo wakutiririka hapa mbona kama vile hujiami?
AhahaaaWanawake wote wa jf naomba mnizalie mtoto mmoja mmoja ili mwaka 2030 niwe na shule ya watoto wangu pekee
Una mbegu?Wanawake wote wa jf naomba mnizalie mtoto mmoja mmoja ili mwaka 2030 niwe na shule ya watoto wangu pekee
Una mbegu?
Zipo mpaka na chenchiUna mbegu?
Na sisi wa Arusha ma konki[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]?????Wa Dar ndio wanaruhusiwa maana hawana tofauti sana na wadada
Dah...! Mademu wangu wote hujataja hata mmoja....!Shunie
Madam b
Mzigua
Mama Sabrina
Carinah
Espy
Eskylat
Nahuja ,
my bff
Na wengineo
Wanawake tunaweza
Utawezaje kutenganisha uji na mgonjwaKabisa.. msisahau kujadili na ile topic ya kupunguza kupenda hela na maisha mazuri kuliko Utu na Mapendo...
Najitolea buuuureeeeAhahaaa sasa mbegu tutapata wapi?
Naomba tenda.... Nina ujuzi wa kutoshaKwa wanaume hata kwa wale dizain ya bundle la wiki moja. Unasimamia kucha 24/7 hadi kinase.