Wanawake wote wa jf tukutane hapa

Wanawake wote wa jf tukutane hapa

I am singo maza in multipo babi fazas. Maisha yana songa nitaachaje kuamini ktk singo maza?
Ahahaa eti with multiple babi fazas? Kumbe unajua kuongea eeh? Hebu nipe uzoefu my
Ulizaa nae kwa kupanga au ilitokea tu?
 
Ki vipi mkuu anakuwa hana jipya?🤔naomba somo kdg kuna mambo nataka niyaweke sawa,samahan kwa kuwaingilia
Mkuu..unajua nyie wanaume huwa mnajitapa sana linapokuja suala la kujisifu kumtoa mwanamke kizinda.
Sasa geuzia upande wetu..tunajisifu hivohivo
 
Mkuu..unajua nyie wanaume huwa mnajitapa sana linapokuja suala la kujisifu kumtoa mwanamke kizinda.
Sasa geuzia upande wetu..tunajisifu hivohivo
hahhaaa,kwa kweli ndio maana naona umeamua kumuweka hapo nje nje kabisa.
Ila nasikia bado huwa mnaendelea kuwapenda.
 
Ahahaa eti with multiple babi fazas? Kumbe unajua kuongea eeh? Hebu nipe uzoefu my
Ulizaa nae kwa kupanga au ilitokea tu?
Inatokea tu. Sijui wapi ninapokosea mwee. Haikua mpango kabisa. Every girl's dream is to marry first love and do all with same man till death do them apart.
 
Back
Top Bottom