Shigo Siyc
Member
- Nov 28, 2011
- 14
- 0
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!

C ndio ajabu yenyewe hii....yani kaja kuuliza swali ndani ya swali....Mimi namsshauri awachane nao hao wote watatu kwa sababu bado hajui kupenda.Lakin si uliwatongoza mwenyewe!
Waambie unataka kuwaoa wote hapo ndipo wataanza kujipunguza wenyewe
Wacha utoto wewe, unajuaje kama wanakukubali sana? hisia za mtu utazijuaje? malengo!!!!! malengo gani?? na malengo ya mtu unayajuaje???. Mimi nijuavyo wewe ndiyo tatizo sidhani kama hao wanawake wote wamepatikana wakati mmoja, ishu ni kwamba ulimpata wa kwanza kutokana na upuuzi wako ukaenda wa pili na watatu, ndipo tatizo lilipoanzia. Mimi nahisi una kaulimbukeni na wanawake, Jirekebishe na tulia na mtu mmoja.Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!
Huwajui watoto wa siku hizi! Wataanza kumuendea kwa mganga wote afu atashika adabu yake!