Ungekua ni kweli mkaka mwenye zile natural vivutio (atleast to most ladies).... kama vile nidhamu nzuri kwa wadada, kuhandle vizuri, treating each lady as if each is unique, mature..... then usingeweka hii hapa for ungejua how to handle the situation... either kutoka nao woote ama kuchagua ambae waona akufaa....
Naweza kua wrong (na am sorry kama utakwazika) but it seems, wajikubali na kujiona mzuri saana ama kua una mvuto saana to the opposite sex... Yawezekana kweli ni handsome na mtanashati, ama tu una pesa ndefu (ama waonekana una pesa); moja ya vivutio vya wadada wengi kua nawee..... Ndio maana wakufuata. Hivo kabla hujafurahia saana ma kuchanganikiwa unnecessarily....please Man up and do the needful.