Wanawake zaidi ya watatu wananitaka...

Wanawake zaidi ya watatu wananitaka...

Shigo Siyc

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!
 
Lakin si uliwatongoza mwenyewe!
 
cjui lkn ila ni jambo la kawaida sana wa2 wanapendwa na 7 uko jaman.
nways kwan na ww unawapenda woote, si uchague ambae ww umemridhia jaman.
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!

Wewe mtoto asubuhi yote hii unaamkia mapenzi, yatakuondoa mu-dunia kama huo ndio mwendo wako!! Ngoja angalau ifike mchana mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!

Waambie unataka kuwaoa wote hapo ndipo wataanza kujipunguza wenyewe
 
Lakin si uliwatongoza mwenyewe!
C ndio ajabu yenyewe hii....yani kaja kuuliza swali ndani ya swali....Mimi namsshauri awachane nao hao wote watatu kwa sababu bado hajui kupenda.
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!
Wacha utoto wewe, unajuaje kama wanakukubali sana? hisia za mtu utazijuaje? malengo!!!!! malengo gani?? na malengo ya mtu unayajuaje???. Mimi nijuavyo wewe ndiyo tatizo sidhani kama hao wanawake wote wamepatikana wakati mmoja, ishu ni kwamba ulimpata wa kwanza kutokana na upuuzi wako ukaenda wa pili na watatu, ndipo tatizo lilipoanzia. Mimi nahisi una kaulimbukeni na wanawake, Jirekebishe na tulia na mtu mmoja.
 
Ungekua ni kweli mkaka mwenye zile natural vivutio (atleast to most ladies).... kama vile nidhamu nzuri kwa wadada, kuhandle vizuri, treating each lady as if each is unique, mature..... then usingeweka hii hapa for ungejua how to handle the situation... either kutoka nao woote ama kuchagua ambae waona akufaa....

Naweza kua wrong (na am sorry kama utakwazika) but it seems, wajikubali na kujiona mzuri saana ama kua una mvuto saana to the opposite sex... Yawezekana kweli ni handsome na mtanashati, ama tu una pesa ndefu (ama waonekana una pesa); moja ya vivutio vya wadada wengi kua nawee..... Ndio maana wakufuata. Hivo kabla hujafurahia saana ma kuchanganikiwa unnecessarily....please Man up and do the needful.
 
walete kwangu nikuchagulie, masharti na vigezo kuzingatiwa
 
Ndugu,

Waite wote sehemu moja kwa wakati ule ule na akikisha una mtu (mwanamme - baunsa) mwingine. Mtambulishe kila mmoja kwa mwenzake kuwa una mapenzi naye na kwa kujiamini. Mchague ambaye atacharuka sana au kukutukana.
 
Nenda kapime ngoma wewe kwanza na waambie nao mwende nao wakapime utupe result then tutakushauri cha kufanya kati ya hao.
 
Chagua unayempenda sana na wengine waambie ukweli au wapotezee kwa kupunguza mawasilino then watakata tamaa wenyewe
 
Zaidi ya watatu..... Kwa hy wako kumi au? Chagua mmoja wengine achana nao....
 
Kwa uliwatongoza wote kwa wakati mmoja? Na mbona hukutushirikisha wakati ukiwatongoza. Kwa kuwa ulitongoza mmoja akukubalia, hukuridhika naye, akaenda kwa mwingine, naye hukuridhika mpaka ukaenda kwa wa tatu. Na kwa kuwa wote unaona ni wazuri, oa wote au endelea kutafuta atakaye wazidi hao watatu.
 
Back
Top Bottom