Wanawake. . . .

Wanawake. . . .

dear lizzy kwanza hongera kwa taji la umalkia.
Pia wapo watu ambao wakifanikiwa kidogo tu wanaanza kujenga imani kuwa watu wanawaonea wivu kumbe wala watu hata hawana habari.Na kwa vile tayari umeshajijenga iman kuwa unaonewa wivu hata watu wakikukosea au kukufanyia vitu vya kuudhi utatafsiri kuwa hawanipendi sbb nimefanikiwa kuwazidi kumbe hata ungekuwa bado hujafanikiwa wangekukosea sbb kukoseana ni kawaida.
Mim naona kauli za mfano wa WANAWAKE HAWAPENDANI ni moja ya kauli nyingi zinazoonesha jinsi gani wanawake tunaonekana ni chanzo cha matatizo ktk jamii na chanzo cha kukwamisha maendeleo sbb eti tunaambiwa mwenzetu akifanikiwa tunajaribu kumrudisha nyuma badala ya kumsaidia kusonga mbele,wakati wako wanawake wengi sana wanaosaidiana.
Wapo wanaume pia ambao wana wivu mkali na mbaya kwa wao kwa wao au kwa wanawake,tena wanaume wakizidiwa kimaendeleo na mwanamke huwa wana chuki mbaya sana sbb wamejijengea akilini kwamba wao ni lazima watuzidi.Tena wanaume wanawaonea wivu hadi wanawake waliowaoa,unakuta mke akiwa na mafanikio tu kumzidi mume,mume kauli yake ya kwanza utasikia mke wangu tokea aongezwe mshahara haniheshimu tena,kuna mathread kibao juu ya hili hapa MMU.
Watu wenye kuonea wenzao wivu wapo lakini sio wanawake tu hata wanaume wenye kuonea wenzao wivu na kutopenda maendeleo ya wenzao wapo.
Wanawake tuache kudhani kuwa ukifanikiwa kidogo tu eti watu wanakuonea wivu sababu ukiwaza kuwa watu wanakuonea wivu wewe mwenyewe ndio utaanza kuwabadilikia wenzio na wenzio wakiona umebadilika nao watabadilika halafu wakibadilika akili zitakwambia "unaona sasa hivi wanaonesha wivu wao wazi wazi"

Hehehe ahsante CM

Uko sahihi kwa kiasi kikubwa. . .Na mawazo yako hayako mbali sana na yangu ila wanaume wanaochukia wanaune wenzao kwakua tu wanaume waliofanikiwa kwa hili au lile ni wachache sana. Ni rare sana kukuta mwanaume amekaa chini anamsema mwanaume mwenzie kama wanawake. Yani maneno kama "muone anavyoringa na huyo bwanake. . .angejua sio wake mwenyewe mbona angejibeba" sio maneno yaliyozoeleka kwenye makundi ya wanaume. Wao ni mwendo wa "demu wa fulani mkali kweli. . .Au hajatulia" ila hawahangaiki kumkashifu huyo fulani hata kama wanatamani wangekuwepo kwenye nafasi yake.
Yani hata hako kachuki kakiwepo hakaonyeshwi kwa matendo. Kama ni huduma itatolewa, maongezi yatakuwepo na vicheko juu. Sio mtu ghafla anavuta mdomo kuleeee. . .utadhani unachangia matatizo binafsi aliyonayo.

Kuhusu kuhisi "kuchukiwa" huko nako kupo kwa kiasi fulani. Ni kama wale wanaohisi kuonewa. . .hua siku zote wanaonewa, ila sio wengi wenye hulka hiyo.
 
So what are you saying....? That you learned it from the best?

ngabu junior vipi mbona naona umekimbia kule?

wale wa srss mbona uliwashindwa?

hivi na wewe ulimfanyizia yule ticha mliyekuwa mnamuita 'kichwa korosho'?
 
ngabu junior vipi mbona naona umekimbia kule?

wale wa srss mbona uliwashindwa?

hivi na wewe ulimfanyizia yule ticha mliyekuwa mnamuita 'kichwa korosho'?

Wewe dogo...assignment yako imekamilika?

SRSS mimi ndo nilikuwa Mac Daddy...uliza utaambiwa.
 
Yani mm sijui nisemeje wanawake hatupendani kabisa, mm imeshanitokea nilienda crdb bank
nikamuomba dada mmoja ambae anafanya kazi pale anipatie deposit slip zilikuwa zimeisha jamani alinijibu vibaya
kwa kweli nilijisikia vibaya sana nikasema hii ni slip tu naomba, ingekuwa ni kitu cha kunielekeza kweli angenielekeza?
hatupendani hata kidogo niwa chache sana ambao kweli hatupo hivyo.
 
Inakera kweli. . .
Yani mtu anamwona mwanamke mwenzie kama adui, alafu hata hamjui.
 
I guarantee....bado hujakamilisha na hutaweza kukamilisha. You can take that to the bank and cashi it.

hiyo ni janja ya kutaka nikupe faili; nimewasiliana na wakongwe wa idara ya siasa pale kweli lile jengo ulilokuwa unapanda kule juu ghorofani kwa ngabu mzee kuchungulia madenti wa kike, pia nilipata data kutoka kwa wale kina d, s, k na wengine mliokuwa mnashindana kufukuzia kule shebi, amini usiamini faili limekamilika sasa bado la gaijin.
 
Unaona sasa...Ngabu Sr. na siasa ni kama maji na mafuta! Hapo tu tayari unanionyesha kwamba umeingia choo cha kike. Rudi ujipange upya!

Ukipatia nakupa dola 100.
 
Back
Top Bottom