Wanawali wa Kizulu vifua wazi kwenye runinga ya Afrika Kusini 2024!

Unadhani
sababu za kutokufikiwa/kukataa Christianity, kuna watu huhoji kwani tuliishije kabla ya Ukristo kuja? jibu ndiyo hilo kama hao uncivilized godless zulus, hata wanakula pets kama godless haitian wanaoamini voodo …
Ukristo ndiyo umeleta mavazi?
Je kabla ya ukristo waafrika wa zululand hawakuwa na mavazi?

Je, unadhani hivi sasa hakuna wazulu wakristo?
Je, kuwa mkristo ndiyo kuwa civilized?
 
Hatuna muda na yasiyo na manufaa kwa taifa letu hasa muda huu muhimu wa kujua mbivu na mbichi za utekaji ,uuuwaji na dhuluma kwa wapinga ufisadi,utekaji na sii hasaaa mbovu hapa kweeetuu.
 
Utamaduni ufungamana na jamii fulani. Jambo hilo kutokana na utamaduni wao, kwako inaweza ikawa vibaya lakini kwao isiwe hivyo.
Inawezekana kwao kichocheo cha ngono sio matiti na wala hayatumiki katika kufanya mapenzi labda wana vitu vyao vinavyowavutia zaidi kuliko sisi tunavyoshawishika na matiti.

NB: naishauri serikali tuanze kutembea kama wao. Ili tuje tuone kuwa ni viungo vya kawaida tu vya mwili. Kama tunavyoweza kuona pua, jicho, sikio nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…