Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Imeamriwa kuwa watu wapewe jersey bure na pia kiingilio kiwe bure na au mchango mdogo. Tunashukuru sana Viongozi kwa upendo wao kwa wanayanga..
Soup tu ndo naona kama imecheleweshwa. Tungepata na supu chapati kwa wanayanga ingewatia moyo na mori wa kuelekea uwanjani. Naomba hili lifanyiwe kazi please. Tuujaze uwanja hakuna kuacha nafasi. Na jersey zitolewe kwa wingi.
Leo Samia atasalimia tumshangilie sana. Tusiwe kama mikia walimlia jiwe. Na wengine kuzomea. Hawa ubingwa watausikia tu kwenye bomba.