Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
I will be short
manara ni time bomb atakuja kuibomoa yanga as a big brand. hatakiwi hata Kusongea karibu na wachezaji wa yanga.
with big names in yanga huyu jamaa will destroy everything Hersi built in years of work.
mzee wangu na tawi lake. wanaplan ya kuludisha kadi. manara akiludi tu yanga.
mzee ni mwenyekiti wa tawi kubwa sana.
reason : manara hana elimu, hana akili , mpolopokaji, destructive, problematic, bad vibe person.
in short amtaki kabisa. it might cost a big problem kwenye general meeting. Hersi akigombea tena. wanaweza mtema kisa manara.
Hersi stay tf off manara. atakualibia kila kitu.
PIA SOMA
- Utata Kati ya Haji Manara na Ali Kamwe: Hofu na Athari za Uamuzi wa Kurejea kwa Manara kama Msemaji wa Yanga