ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mimi ni mmoja wa watu tusiomtaka Manara!Watakuja kusema wewe ni Ali Kamwe, unamhofu Manara
Hivyo unapiga fitna.
Hajui kuchangamsha zaidi ya kuchochea ugomvi hatufai
Alikamwe is the best!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mmoja wa watu tusiomtaka Manara!Watakuja kusema wewe ni Ali Kamwe, unamhofu Manara
Hivyo unapiga fitna.
sio yeye tu na watu almost 100 + . Hersi atajenga vita mbaya sana. He shouldn't try itMwambie huyu Mzee wako ambaye hataki kuzeeka arudishe hiyo kadi tuone kama yanga itapotea au la
I am good in EnglishHakuna hata lugha moja kati ya hizo anayoijua kikamilifu!
Una kithembe kwenye vidole? Atakualibia' ni lugha ya taifa gani?I will be short
manara ni time bomb atakuja kuibomoa yanga as a big brand. hatakiwi hata Kusongea karibu na wachezaji wa yanga.
with big names in yanga huyu jamaa will destroy everything Hersi built in years of work.
mzee wangu na tawi lake. wanaplan ya kuludisha kadi. manara akiludi tu yanga.
mzee ni mwenyekiti wa tawi kubwa sana.
reason : manara hana elimu, hana akili , mpolopokaji, destructive, problematic, bad vibe person.
in short amtaki kabisa. it might cost a big problem kwenye general meeting. Hersi akigombea tena. wanaweza mtema kisa manara.
Hersi stay tf off manara. atakualibia kila kitu.
Sasa watu 100+ nini kina nani mbele yanga wambie wasepe ikiwezekana ungana naosio yeye tu na watu almost 100 + . Hersi atajenga vita mbaya sana. He shouldn't try it
Ha ha Ally Kamwe ana hofu ugali wake utamwagika.Watakuja kusema wewe ni Ali Kamwe, unamhofu Manara
Hivyo unapiga fitna.
Ni uvivu wa akiliHakuna kitu kinakera kama kutumia L inapotakiwa iwepo R au kutumia R kwenye L inakera kichizi
Huyo mzee wako ni mpumbavu.I will be short
manara ni time bomb atakuja kuibomoa yanga as a big brand. hatakiwi hata Kusongea karibu na wachezaji wa yanga...
HebuIla kaeleweka mlitaka aandikeje embu anaejua aandike kwa correction. Watu mnachukuliaga kuandika kitu poa sana ee??
Mkuu umejitaidi sema ujumbe umefika. Ila
Manara mbona yupo yanga kitambo tuu sema now yaani akirudi ndo makamera yanaruhusiwa kumrecord akisema neno yanga in public mbona🤕...
The sentence is grammatically correct. However, the usage is incorrect.I am good in English
😂😂😂😂 , elimu ya mchangani sioThe sentence is grammatically correct. However, the usage is incorrect.
I am good at English is the correct phrase.
The preposition "at" is used to indicate proficiency or skill in a subject, while "in" is used to indicate location or a field of study. Therefore, "I am good at English" properly conveys that you has proficiency or skill in the English language.
Chuki za mzee wako ndio kipimo cha wanayanga wote 😁😁😁😁😁😁I will be short
manara ni time bomb atakuja kuibomoa yanga as a big brand. hatakiwi hata Kusongea karibu na wachezaji wa yanga...