Hata hayo ni mafanikio acha kushupaza shingo. Mwaka huu fanyeni basi kweli mchukue ubingwa mtutoe kimaso maso. Tuacheni sisi wa vikombe vya robo fainali mara kibaaoo na nusu kadhaa nyie chukueni kabisa ndoo.ndo mafanikio hayo??au ndo kombe hilo??maana bado sijajibiwa kuwa makolo fc wana mafanikio kimataifa labda wamebeba kombe flani etc!!!!
Ni Mburukenge kabisa [emoji23][emoji23]PSG na MANCHESTER CITY ni underdog na wamefika nusu fainali ya UEFA ila Simba kufika robo fainal ..Simba ni timu kubwa....
Wewe mshikaj huna akili hata kidogo
kumbe kufika robo final ni mafanikio???basi hata yanga alifika mwaka 1998 chini ya tito mwaluvanda!!nilijiua mafanikio ni kombe bana!kumbe sio!hahahahahaHata hayo ni mafanikio acha kushupaza shingo. Mwaka huu fanyeni basi kweli mchukue ubingwa mtutoe kimaso maso. Tuacheni sisi wa vikombe vya robo fainali mara kibaaoo na nusu kadhaa nyie chukueni kabisa ndoo.
Timu alinyang'anywa Tito akapewa Raul Shungu aliyekua kocha wa Rayon Sports ambayo ilitolewa na Yanga kwenda Robo fainal.kumbe kufika robo final ni mafanikio???basi hata yanga alifika mwaka 1998 chini ya tito mwaluvanda!!nilijiua mafanikio ni kombe bana!kumbe sio!hahahahaha
Nyie mashoga tu tuliwamwagia VitanoNyie makolo mnapenda kuijadili YANGA, mnaona raha inavyo wakojolea mnawashwa msihofu October tunawakojolea tena...
Mlishazirudisha 5 na 4Halafu ndiyo maana tunawafunga back to back. Mna dharau sana nyinyi madogo wa mbumbumbu fc.
Nimesema kuchukua UEFA champions league au Caf champions league ukiachana na uwekezaji ila hata achievement pia ni kama njia ya mafanikio hao PSG na Manchester city nimewataja kwasababu ni team zilizofanya uwekezaji mku sana katika league zao ila bado UEFA champions league wanapata tabu ila tabu wanazopata simba hawawezi kufanana na yanga sio lazima uamini ninachokwambia.PSG na MANCHESTER CITY ni underdog na wamefika nusu fainali ya UEFA ila Simba kufika robo fainal ..Simba ni timu kubwa....
Wewe mshikaj huna akili hata kidogo
Unaleta habari za enzi ya mwalimu na wakati siku zinazidi tu kusonga kuelekea Oktoba 23! Siku nyingine tena ya kumchinja mnyama.Mlishazirudisha 5 na 4
Simba ana fanana na nani? maana sio baridi sio motoNimesema kuchukua UEFA champions league au Caf champions league ukiachana na uwekezaji ila hata achievement pia ni kama njia ya mafanikio hao PSG na Manchester city nimewataja kwasababu ni team zilizofanya uwekezaji mku sana katika league zao ila bado UEFA champions league wanapata tabu ila tabu wanazopata simba hawawezi kufanana na yanga sio lazima uamini ninachokwambia.
Umeelewa swali lakini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umezitolea mfano Man City na PSG za ulaya kwa sababu hazijabeba kombe la champions league. Sasa ndugu mleta mada nipe tofauti yako na hao mashabiki wanaotukana kwa sababu hiyo Simba yenyewe haijabeba hilo kombe kwa nini uje hapa ujimwambafai kama vile na wewe ushabeba hilo kombe la CAF?
Mbna unalia sasa, tatizo nn tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule CAF hakuna ukubwa wa nafasi, zile nafasi ni namba tu. Timu kubwa nizile zilizo twaa makombe. Hakuna ukubwa wa point kule.
Ni mbumbumbu asiyejiyambua tu Anaye fikiria ukubwa wa CAf ni point za timu.
Pamba neni mtwae ubingwa nanyi mtaitwa vigogo sio kuji tutumua wakati hamtambuliki.
Mfano Kwa apa Tanzania Yanga ndio wakubwa Kwa kutwaa ubingwa maranyingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had unalia shostieee, poleeeeeehHalafu ndiyo maana tunawafunga back to back. Mna dharau sana nyinyi madogo wa mbumbumbu fc.
Huwa ninawashangaa sana na kuwacheka mashabiki wa aina yako lakini napata wasiwasi kwa sababu nahisi nyie mmeanza kushabikia mpira juzi juzi. Nasema ivyo kwa sababu huu utaratibu wa kushabikia timu pinzani hasa ya Yanga au Simba zinapocheza kimataifa zilianzishwa na mashabiki wa Simba kama hujui kafuatilie. Sasa hivi mnaona mshabiki wa Yanga wanafanya kwa sababu hamjui kilianzia wapi.Juma pili mnaenda saa ngapi kuwapokea big bullet airport mkuu nataka niwachangie nauli mashabiki misekule wa east Africa.
Angekua na nia ya kuwasilisha swali asingeandika huo utumbo mwingine. Nimejibu kuusafisha utumboUmeelewa swali lakini?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
asante kwa kumbukumbuTimu alinyang'anywa Tito akapewa Raul Shungu aliyekua kocha wa Rayon Sports ambayo ilitolewa na Yanga kwenda Robo fainal.